APPLICATION FOR SEPTEMBER INTAKE 2024/2025Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo katika Kampasi zake za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya kwa muhula wa Septemba 2024/2025 kwa ngazi za astashada,stashahada na shahada . Waombaji wawe na sifa zifuatazo:

  • Mwombaji wa :-

Astashahada (certificate) mwaka mmoja

Awe amehitimu kidato cha nne na mwenye ufaulu wa angalau alama“D” nne, au mwenye NVA level 3.

Stashahada (Diploma) miaka 2

Awe amehitimu kidato cha sita na mwenye ufaulu wa angalau (Principal pasi moja) na (Subsidiary pasi moja), Au amefuzu ngazi ya cheti (certificate) katika chuo kinachotambulika na Serikali/NACTVET.

Shahada (Bachelor Degree)

Awe amehitimu kidato cha sita na mwenye ufaulu wa angalau principal pass 2 zenye jumla ya alama 4 na kuendelea kutoka katika masomo mawili unganishwa Au amefuzu ngazi ya  Stashahada (Diploma) katika chuo kinachotambulika na Serikali/NACTVET na awe na GPA ya kuanzia 3.0 na kuendelea.

Dirisha la maombi kwa njia ya mtandao liko wazi kuanzia Mwezi Mei, 2024

KOZI NA PROGRAMME ZA CHUO:

Masoko ya Kidijitali (Digital Marketing)

  • Usimamizi wa Biashara katika Utunzaji wa Kumbukumbu (Business Administration in Records and Archives Management)
  • Usimamizi wa Biashara katika Rasilimali Watu (Business Administration in Human Resources Management)
  • Usimamizi wa Biashara Katika Ujasiriamali & Uvumbuzi (Business Administration in Entrepreneurship and Innovation)
  • Uchumi naFedha ( Economics & Finance)
  • Masoko Katika Utalii na Usimamizi wa Matukio (Marketing in Tourism and Event Management)
  • Vipimo na Viwango  (Metrology and Standardization)
  • Ugavi na Manunuzi   (Procurement and Supplies  Management)
  • Teknolojia ya Habari (Information Technology
  • Usimamizi wa Vifaa na Usafirishaji (Transport and Logistics Management)

 Tembelea Tovuti ya Chuo www.cbe.ac.tz Au fika katika kampasi zetu kama ifuatavyo/au piga simu hizi

DAR ES SALAAM (Mtaa wa BIBI Titi Mohammed)

0756 722 467/073525 0115

DODOMA (Eneo la Mtaa wa makole Karibu na jengo la Bunge

0754 940 660/0767 097 463

MWANZA Eneo la Ilemela ( Mecco Kangaye)

0759 924 626/0659 707 000/0763296874

MBEYA Eneo la Iganzo- Barabara ya Chunya

0756 516 771/0716 803 664/0768610505