Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo katika Kampasi zake za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya kwa muhula wa Septemba 2024/2025 kwa ngazi za astashada,stashahada na shahada . Waombaji wawe na sifa zifuatazo:
Astashahada (certificate) mwaka mmoja
Awe amehitimu kidato cha nne na mwenye ufaulu wa angalau alama“D” nne, au mwenye NVA level 3.
Stashahada (Diploma) miaka 2
Awe amehitimu kidato cha sita na mwenye ufaulu wa angalau (Principal pasi moja) na (Subsidiary pasi moja), Au amefuzu ngazi ya cheti (certificate) katika chuo kinachotambulika na Serikali/NACTVET.
Shahada (Bachelor Degree)
Awe amehitimu kidato cha sita na mwenye ufaulu wa angalau principal pass 2 zenye jumla ya alama 4 na kuendelea kutoka katika masomo mawili unganishwa Au amefuzu ngazi ya Stashahada (Diploma) katika chuo kinachotambulika na Serikali/NACTVET na awe na GPA ya kuanzia 3.0 na kuendelea.
Dirisha la maombi kwa njia ya mtandao liko wazi kuanzia Mwezi Mei, 2024
KOZI NA PROGRAMME ZA CHUO:
Masoko ya Kidijitali (Digital Marketing)
Tembelea Tovuti ya Chuo www.cbe.ac.tz Au fika katika kampasi zetu kama ifuatavyo/au piga simu hizi
DAR ES SALAAM (Mtaa wa BIBI Titi Mohammed)
0756 722 467/073525 0115
DODOMA (Eneo la Mtaa wa makole Karibu na jengo la Bunge
0754 940 660/0767 097 463
MWANZA Eneo la Ilemela ( Mecco Kangaye)
0759 924 626/0659 707 000/0763296874
MBEYA Eneo la Iganzo- Barabara ya Chunya
0756 516 771/0716 803 664/0768610505