Shahada ya uzamili (Master’s Degree): Muombaji awe amemaliza Degree ya kwanza na ufaulu wa angalau Lower second-class au Postgraduate Diploma kutoka Katika chuo kinachotambulika na TCU au NACTVET.
Mwisho wa kupokea maombi kwa ajili ya kujiunga na Chuo ni 10/03/2025.
Waombaji watume maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Chuo www.cbe.ac.tz Au fika katika kampasi zetu. Gharama za maombi ya kujiunga na chuo ni BURE.
Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: admission@cbe.ac.tz
Mwanza Simu Namba: 0659 707 000 au 0767 692 558
Tovuti: www.cbe.ac.tz
WOTE MNAKARIBISHWA.