New events

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit. Aenean commodo ligula eget dolor. Aenean massa. Cum sociis natoque penatibus et magnis dis parturient montes, nascetur ridiculus mus. Donec quam felis, ultricies nec, pellentesque eu, pretium quis, sem. Nulla consequat massa quis enim. Donec pede justo, fringilla vel, aliquet nec, vulputate eget, arcu.

TAARIFA MUHIMU KUTOKA KWA MKUU WA CHUO

Published in New events
Wednesday, 03 June 2020 00:00
695 Hit
(1 Vote)

Mkuu wa chuo cha elimu ya biashara cbe anawatangazia wanafunzi wote kuwa chuo kitafunguliwa tarehe 01/06/2020 katika kampasi zake zote.
Wanafunzi wa bweni wanashauriwa kuripoti kabla ya tarehe 01/06/2020
Wanafunzi wote wanapaswa kuzingatia yafuatayo:


1. Wanafunzi wa bweni wataendelea kukaa kwenye vyumba walivyopangiwa kabla ya chuo kufungwa.
2. Wanafunzi wa ngazi ya cheti na diploma1 “march intake” ambao hawajakamilisha usajili, wanaelekezwa kukamilisha usajili wao kuanzia tarehe 29 mei, 2020 hadi 05 juni, 2020.
3. Wanafunzi wanatakiwa kupakua ratiba ya masomo kwenye “saris account “ yao.
4. Wanafunzi wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
i. Kunawa mikono kwa sabuni kila mara katika sehemu zilizotengwa chuoni
ii. Kuepuka misongamano
iii. Kuvaa barakoa (masks) pamoja na kutumia vitakasa mikono (hand sanitizer) watakapokuwa chuoni au popote pale penye mkusanyiko wa watu.
5. Kuzingatia maelekezo mbalimbali yanayotolewa na wizara ya afya.
Maelekezo zaidi kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia pindi wanafunzi watakapokuwa chuoni yanapatikana kwenye mbao za matangazo pamoja na tovuti ya chuo

PATA TAARIFA ZA MATUKIO MUHIMU KATIKA KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII

Published in New events
Wednesday, 06 May 2020 00:00
539 Hit
(2 votes)

 Tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili kupata taarifa za matukio muhimu yanayojili chuoni kwetu

  • Taarifa za kuanza na kumaliza mtihani
  • Taarifa za kufunga na kufungua chuo
  • Taarifa za mahafali, convocation na matukio mengine ya kitaaluma
  • Taarifa za kozi zetu na kozi fupi zinazotolewa 
  • Taarifa za michezo na matukio mengine ya kijamii ya wanafunzi na wafanyakazi 

Majina ya kurasa zetu za kijamii ni kama ifuatavyo:-

  1. Facebook      – College of Business Education
  2. Instagram     – cbeofficial_1965
  3. Twitter           – cbeofficial1 

MOODLE LEARNING MANAGEMENT SYSTEM (LMS)

Published in New events
Wednesday, 06 May 2020 00:00
801 Hit
(0 votes)

E- Learning System User manual instruction guide

To download PDF click here

HATUA STAHIKI KATIKA KUJIKINGA NA COVID-19

Published in New events
Wednesday, 06 May 2020 00:00
486 Hit
(0 votes)

Unapokuwa katika eneo la Chuo, tafadhali fuata taratibu zilizowekwa.

Kuangalia hatua za kufuata Ponyeza hapa

History of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act

 

 

STUDENT MAIL              

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177

CBE            CBE