COVID-19

Rate this item
(0 votes)
COVID-19

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kinaendelea kuungana na Serikali, Wizara ya Afya na wataalamu wa afya nchini kuwakumbusha wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya Corona (COVID-19). Baadhi ya tahadhari hizo ni kama:-

 • Kunawa mikono mara kwa mara kwa sabuni na maji tiririka/kusafisha mikono na vitakasa mikono (sanitizer)
 • kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima
 • Kukaa umbali wa angalau mita moja kutoka kwa mgonjwa wa Corona
 • Usisalimiane kwa kushikana mikono
 • Usiguse macho, pua au mdomo na mikono michafu. n.k

Muhimu

 • Usitume tu ujumbe wowote unaohusu Corona bali ujumbe wa uhakika toka kwa wataalamu wa afya.
 • Kama unajisikia dalili zozote za Corona (Homa, Kikohozi kibichi, uhemaji wa tabu, maumivu ya mwili, kukosa hamu ya kulan.k) tafuta msaada wa kitabibu
 • Usipigi chafya au kukohoa kwa kutumia kitambaa, tumia tishu alafu itupe
 • Usitembelee maeneo ya mikusanyiko kama ni mgonjwa
 • JILINDE MWENYEWE
 • LINDA UWAPENDAO
 • LINDA JAMII YAKO

History of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act

 

 

STUDENT MAIL              

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177

FB_CBE    IconYoutubeYoutube_CBE